速報APP / 教育 / Neno la Leo & Tafakari ya Leo

Neno la Leo & Tafakari ya Leo

價格:免費

更新日期:2018-10-06

檔案大小:15M

目前版本:1.01

版本需求:Android 4.2 以上版本

官方網站:http://www.mbindatech.xyz

Email:mbindatechnologies@gmail.com

聯絡地址:1, Mzumbe University, Morogoro, Tanzania.

Neno la Leo & Tafakari ya Leo(圖1)-速報App

Kila siku mwenyezi mungu kupitia maandiko yake matakatifu anatukumbusha na kutufundisha kitu kipya, hivyo basi mpendwa katika Kristo unapaswa kujikumbusha na kusoma neno la mungu kila siku, Neno la leo & Tafakari ya Leo ni aplikesheni itakayokufaa katika kuliishi neno na kumfuata kristo Yesu. Kupitia aplikesheni hii utakuwa unapokea ujumbe mfupi kila siku kuhusiana na neno pamoja na tafakari yake ya siku husika. Pia utaweza kuyasoma maneno yaliyopita pasipo kuwa na kifurushi cha internet. Kumbuka kumpenda Jirani yako kwa kumsambazia naye aplikesheni hii ili aweze kubarikiwa.

Neno la Leo & Tafakari ya Leo(圖2)-速報App

Neno la Leo & Tafakari ya Leo(圖3)-速報App

Neno la Leo & Tafakari ya Leo(圖4)-速報App